Eleza maana ya virai

      

Eleza maana ya virai.

  

Answers


KELVIN
? Vikundi vya maneno vitumiwavyo na binadamu visivyo na maana kamili.
? Tungo zinayoundwa kwa maneno aghalabu mawili au zaidi yanayoashiria kitu kimoja na inayojengwa juu ya neno kuu.

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 07:55


Next: Jadili kundi nomino na kundi tenzi
Previous: Bainisha aina tofauti za virai huku ukionyesha miundo tofauti ya virai husika

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions