Jadili aina tofauti za vishazi

      

Jadili aina tofauti za vishazi.

  

Answers


KELVIN
? Vishazi Huru
? Vifungu vya maneno katika sentensi ambavyo hutoa maana kamili.
? Vishazi Tegemezi
? Vifungu vya maneno katika sentensi ambavyo havitoi maana kamili.
Aina
a) Vishazi tegemezi vya viunganishi k.m. Alimwadhibu ingawa hakuwa na makosa.
b) Vishazi tegemezi vya virejeshi k.m. Polisi walimpata mtoto aliyekuwa amepotea.
? Vishazi Viambatani
? Vinavyoundwa kwa vishazi huru viwili vikiwa vimeunganishwa k.m. Baba analala na mama anapika.

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 07:59


Next: Eleza maana ya vishazi
Previous: Taja na ueleza aina za shamirisho

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions