Taja na ueleza aina za shamirisho

      

Taja na ueleza aina za shamirisho.

  

Answers


KELVIN
? Shamirisho Kipozi/Yambwa Tendwa
? Nomino inayoathiriwa na kitenzi.
? Shamirisho Kitondo/Yambwa Tendewa
? Nomino inayotendewa kitendo.
? Shamirisho Ala/Yambwa Kitumizi
? Chombo kinatumiwa kufanyia kitendo fulani.
Mifano
? Mama alimpikia baba chakula kwa sufuria.
? Baba alipikiwa chakula na mama kwa sufuria.
? Sufuria ilitumiwa na mama kumpikia baba chakula.
a) Chakula (Shamirisho Kipozi/Yambwa Tendwa)
b) Baba (Shamirisho Kitondo/Yambwa atendewa)
c) Sufuria (Shamirisho Ala/Yambwa Kitumizi)

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:00


Next: Jadili aina tofauti za vishazi
Previous: Eleza kwa kina ngeli ya A-WA

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions