Eleza kwa kina ngeli ya A-WA

      

Eleza kwa kina ngeli ya A-WA.

  

Answers


KELVIN
? A-WA
? Huwa na majina ya watu, vilema, viumbe, vyeo na viumbe vya kiroho, n.k.
? Huchukua miundo kama vile M-WA, M-MI, KI-VI, n.k.

? mtu-watu,
? mkulima-wakulima
? mtume-mitume
? mkizi-mikizi
? kiwete-viwete
? kibyongo-vibyongo
? nabii-manabii
? kuku-kuku
? Waziri-Mawaziri
kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:01


Next: Taja na ueleza aina za shamirisho
Previous: Eleza kikamilifu ngeli ya U-I

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions