Eleza kikamilifu ngeli ya U-I

      

Eleza kikamilifu ngeli ya U-I

  

Answers


KELVIN
? Huwa na majina ya mimea, sehemu za mwili, vifaa, matendo, maumbile, n.k.
? Huchukua muundo wa M-MI.

? Mchungwa-michungwa
? Mkoko-mikoko
? mkono-mikono
? mfupa-mifupa
? msumari-misumari
? mgomo-migomo
? mwendo-myendo
? msukosuko-misukosuko
? mlima-milima
? mwamba-myamba

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:03


Next: Eleza kwa kina ngeli ya A-WA
Previous: Kwa ukamilifu jadili ngeli ya U-YA

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions