Kwa ukamilifu jadili ngeli ya U-YA

      

Kwa ukamilifu jadili ngeli ya U-YA

  

Answers


KELVIN
? Huwa na majina ya hali, matendo, n.k.
? Huchukua muundo wa U-MA.

? Ugonjwa-magonjwa
? upana-mapana
? uasi-maasi
? uchungu-machungu
? ulezi-malezi
? uovu-maovu
? uhusiano-mahusiano
kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:04


Next: Eleza kikamilifu ngeli ya U-I
Previous: Huku ukitoa mifano jadili ngeli ya YA-YA

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions