Huku ukitoa mifano jadili ngeli ya YA-YA

      

Huku ukitoa mifano jadili ngeli ya YA-YA.

  

Answers


KELVIN
? Huchukua muundo wa MA-MA.
? Huwa na nomino zipatikanazo kwa wingi.
? Hazibadiliki katika umoja na wingi.

? manukato
? mauti
? maziwa
? marashi
? mahubiri
? majira
? maradhi
? maafa
? mazingira

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:05


Next: Kwa ukamilifu jadili ngeli ya U-YA
Previous: Eleza kwa kutoa mifano ngeli ya KI-VI

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions