Eleza kwa kutoa mifano ngeli ya KI-VI

      

Eleza kwa kutoa mifano ngeli ya KI-VI

  

Answers


KELVIN
? Ni majina ya vifaa, sehemu za mwili, vitu, udogo, lugha, n.k.
? Huchukua miundo KI-VI na CH-VY.

? kisu-visu
? kitabu-vitabu
? chakula-vyakula
? chanda-vyanda
? kijitu-vijitu
? kigombe-vigombe
? kiguu-viguu
? kidovu-vidovu

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:06


Next: Huku ukitoa mifano jadili ngeli ya YA-YA
Previous: Eleza ngeli ya LI-YA huku ukitoa mifano

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions