Eleza ngeli ya LI-YA huku ukitoa mifano

      

Eleza ngeli ya LI-YA huku ukitoa mifano

  

Answers


KELVIN
? Huwa na majina ya sehemu za mwili, dhana, vifaa, ukubwa, n.k.
? Huchukua muundo wa JI-MA, JI-ME, JA-MA, JE-MA n.k.

? jicho-macho
? jina-majina
? jitu-majitu
? goma-magoma
? jambo-mambo
? janga-majanga
? jembe-majembe
? jeneza-majeneza
? wazo-mawazo
? tunda-matunda
? jua-majua
? ziwa-maziwa
? ua-maua
kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:07


Next: Eleza kwa kutoa mifano ngeli ya KI-VI
Previous: Jadili ngeli ya I-I huku ukitoa mifano yake

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions