Jadili ngeli ya I-I huku ukitoa mifano yake

      

Jadili ngeli ya I-I huku ukitoa mifano yake.

  

Answers


KELVIN
? Huwa na nomino dhahania na vitu visivyoweza kuhesabika.
? Hazibadiliki katika umoja na wingi.

? sukari
? amani
? chai
? mvua
? Imani
? chumvi
? subira
? imani
? amani
? furaha
kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:08


Next: Eleza ngeli ya LI-YA huku ukitoa mifano
Previous: Jadili ngeli ya I-ZI kisha utoe mifano ya nomino katika ngeli hii

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions