Jadili ngeli ya I-ZI kisha utoe mifano ya nomino katika ngeli hii

      

Jadili ngeli ya I-ZI kisha utoe mifano ya nomino katika ngeli hii.

  

Answers


KELVIN
? Huhusisha nomino dhahania na vitu.
? Hazibadiliki katika umoja na wingi.

? nyumba

? baiskeli
? karatasi
? redio
? meza
? dini
? dawa
? ndizi
? jozi

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:09


Next: Jadili ngeli ya I-I huku ukitoa mifano yake
Previous: Jadili ngeli ya U-ZI huku ukitoa mifano ya nomino katika ngeli ya U-ZI

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions