Jadili ngeli ya U-ZI huku ukitoa mifano ya nomino katika ngeli ya U-ZI

      

Jadili ngeli ya U-ZI huku ukitoa mifano ya nomino katika ngeli ya U-ZI

  

Answers


KELVIN
? Huchukua miundo W-NY, U-NY, U-F, n.k.
? wayo-nyayo
? wakati-nyakati
? uso-nyuso
? ufa-nyufa
? ufunguo-funguo
? ufagio-fagio
? wembe-nyembe
? uwanja-nyanja
? ujumbe-jumbe
? ukoo-koo
? waraka-nyaraka
? waya-nyaya

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:10


Next: Jadili ngeli ya I-ZI kisha utoe mifano ya nomino katika ngeli hii
Previous: Jadili ngeli ya U-U kisha utoe mifano ya nomino katika ngeli hii

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions