Jadili ngeli ya U-U kisha utoe mifano ya nomino katika ngeli hii

      

Jadili ngeli ya U-U kisha utoe mifano ya nomino katika ngeli hii.

  

Answers


KELVIN
? Huwa na nomino za dhahania na vitu visivyoweza kuhesabika.
? Hazibadiliki kimaumbo.
? Huchukua U au W.
? Ujinga
? Ulafi
? Ulaji
? Werevu
? Unga
? Uji
? Ugali
? udongo

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:12


Next: Jadili ngeli ya U-ZI huku ukitoa mifano ya nomino katika ngeli ya U-ZI
Previous: Jadili ngeli ya KU

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions