Eleza ngeli ya PAKUMU huku ukitoa mifano katika sentensi

      

Eleza ngeli ya PAKUMU huku ukitoa mifano katika sentensi.

  

Answers


KELVIN
? Ngeli ya mahali.
? Huwa na nomino moja ‘mahali’.
a) PA (mahali karibu au panapodhihirika) k.m. Kitabu kipo pale.
b) KU (mahali mbali au kusikodhihirika) k.m. Mahali kule kunafaa.
c) MU (ndani ya) k.m. Mahali mle mna siafu.

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:14


Next: Jadili ngeli ya KU
Previous: Kwa kutolea mifano tambua njia tofuati za kuunda maneno katika lugha ya kiswahili

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions