Jadili aina tofauti za vitenzi

      

Jadili aina tofauti za vitenzi

  

Answers


KELVIN
? Kitenzi halisi
? Kinachofahamisha tendo halisi.
? Hutokea peke yake k.m. Boke anacheza mpira.
? Kitenzi kikuu (T)
? Kinachoeleza tendo kuu katika sentensi.
? Hutokea pamoja na kitenzi kisaidizi k.m. Baba anataka kulala.
? Kitenzi Kisaidizi (Ts)
? Kinachosaidia kitenzi kikuu
Maneno yanayoweza kutumiwa kama vitenzi visaidizi

? ngali
? kuwa
? taka
? pasa
? bidi
? huenda
? kuja
? weza
? kwisha
? stahili
? wahi
? maliza

? Vitenzi Sambamba
? Vinavyofuatana moja kwa moja/vinavyotokea kwa mfululizo.
? Hutumika kutoa maelezo kuhusu tendo moja maalum kwa uwazi zaidi.
? Wachezaji huenda wanaweza kushinda mchezo wa leo.
? Vitenzi Vishirikishi (t)
? Vinavyoshirikisha vitu kihali, kitabia au kimazingira.



kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:18


Next: Eleza maana ya kitenzi
Previous: Jadili aina tofauti za vitenzi vishirikishi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions