Jadili aina tofauti za vitenzi vishirikishi

      

Jadili aina tofauti za vitenzi vishirikishi.

  

Answers


KELVIN
a) Vitenzi Vishirikishi Vikamilifu
? Ambavyo huchukua viambishi.
? Mama alikuwa mgonjwa/jikoni/muuguzi.
? Aisha angali kitandani/mkaidi/ mwanafunzi.
b) Vitenzi Vishirikishi Vipunguvu
? Ambavyo havichukui viambishi
kuyakinisha kukanusha
ni/niko
ndiko
yuko
li/liko si/siko
siko
hayuko
hali/haliko

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:18


Next: Jadili aina tofauti za vitenzi
Previous: Eleza maana ya vivumishi na viwakilishi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions