Eleza maana ya vivumishi na viwakilishi

      

Eleza maana ya vivumishi na viwakilishi

  

Answers


KELVIN
? Viwakilishi ni viambishi au maneno yanayotumiwa badala ya nomino.
? Vivumishi ni maneno yanayotoa habari zaidi kuhusu nomino.

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:20


Next: Jadili aina tofauti za vitenzi vishirikishi
Previous: Jadili vivumishi na viwakilishi viulizi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions