Jadili vivumishi na viwakilishi viulizi

      

Jadili vivumishi na viwakilishi viulizi

  

Answers


KELVIN
Viulizi Viulizi
? Maneno ya kuulizia.
? Mizizi ni –pi, -ngapi na gani.
? Amechukua kitabu kipi?(V. kiulizi)
? Kipi kimepotea? (W. Kiulizi)
? Amenunuliwa mangapi?
? Gani imefungwa?

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:23


Next: Eleza maana ya vivumishi na viwakilishi
Previous: Jadili vivumishi na viwakilishi vya a-unganifu

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions