Jadili vivumishi na viwakilishi vya a-unganifu

      

Jadili vivumishi na viwakilishi vya a-unganifu

  

Answers


KELVIN
? Maneno yanayoundwa kwa viwakilishi ngeli na kiishio a.
? Hutoa maana ya umilikaji
? Mtoto wa shangazi amelala. (V. a-unganifu) ? Wa Juma analia. (W. a-unganifu)
? Cha mlevi huliwa na mgema.

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:24


Next: Jadili vivumishi na viwakilishi viulizi
Previous: Jadili vivumishi na viwakilishi vya pekee

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions