Jadili vivumishi na viwakilishi vya pekee

      

Jadili vivumishi na viwakilishi vya pekee.

  

Answers


KELVIN
? Hutoa taarifa zaidi kuhusu nomino kwa njia ya pekee.
a) –enye (umilikaji)
? Msichana mwenye maringo ni yule. (V. Pekee)
b) –enyewe (halisi au kusisitiza)
? Barua yenyewe niliipeleka posta.
c) –ote (bila kubakisha)
? Chakula chote kimeliwa.
d) -o-ote (bila kubagua)
Mtu yeyote anaweza kuugua.
e) -ingine (sehemu ya baadhi ya vitu)
? Mikufu mingine imeibwa.
f) -ingine-o (mbali na/zaidi ya)
? Nyuzi nyinginezo zilikatika. ? Mwenye macho haambiwi tazama. (W.pekee)
? Yenyewe yaliiva jana.
? Kiliharibika chote.
? Popote paliposafishwa pamechafuka.
? Ametorokea kwingine.
? Nyingineyo niliweka katika chakula.

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:25


Next: Jadili vivumishi na viwakilishi vya a-unganifu
Previous: Jadili vielezi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions