Jadili vielezi

      

Jadili vielezi.

  

Answers


KELVIN
? Viambishi au maneno yanayoeleza zaidi kuhusu kivumishi, kitenzi au kielezi kingine.
? Yeye ni mweupe sana/ajabu/kwelikweli/kupindukia/pepepe.
? Alikula pole pole sana.

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:27


Next: Jadili vivumishi na viwakilishi vya pekee
Previous: Tambua na ueleze aina tofauti za vielezi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions