Jadili vihusishi huku ukitambua aina tofauti za vihusishi

      

Jadili vihusishi huku ukitambua aina tofauti za vihusishi.

  

Answers


KELVIN
? Maneno yanayoonyesha uhusiano.
Aina

? Mahali
? juu ya, miongoni mwa, katika, mpaka, hadi
? Wakati
? kabla ya, baada ya, tangu, hadi, mpaka
? Sababu
? kwa, kwani, kwa sababu, mintaarafu ya
? Ala
? Alimkata kwa kisu.
? A-unganifu
? Simu ya rununu inalia.
? Jumba la mikutano limeandaliwa.
? Kiatu cha ngozi hudumu.
? Kikome cha plastiki ni duni.
? Ulinganisho
? Zaidi ya, kuliko, kuzidi, kushinda.
? Kiwango
? Zaidi ya, kati ya, takriban, karibu
? Vya hali
? Mithili ya, kwa niaba ya

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:32


Next: Jadili viunganishi
Previous: Eleza maana ya vihisishi huku ukieleza aina tofauti

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions