Eleza maana ya vihisishi huku ukieleza aina tofauti

      

Eleza maana ya vihisishi huku ukieleza aina tofauti.

  

Answers


KELVIN
? Maneno yanayotoa hisia za moyoni.

a) furaha
? Hoyee! Haleluya! Alhamdulilahi!
b) hasira
? Kefle! Ah! He!
c) majuto
? Kumbe! Jamani! Ole wangu! Laiti
d) huzuni/huruma
? Pole! Ole! Maskini!
e) kuitikia
? Bee! Labela! Naam! Ehee! Ahaa!
f) mshangao/mshtuko
? Eti! Salaale! Ajabu! Msalia mtume! Lahaula!
g) kubeza
? Mawe! Ngo! Mmm! Mwangalie!
h) kusisitiza

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:34


Next: Jadili vihusishi huku ukitambua aina tofauti za vihusishi
Previous: Kwa kudhidirisha katika sentensi onyesha jinsi aina tofauti za maneno huingiliana

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions