Eleza maana mofimu

      

Eleza maana mofimu

  

Answers


KELVIN
? Kipashio kidogo zaidi katika lugha kisichoweza kuvunjwavunjwa zaidi bila kupoteza maana yake.
kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:37


Next: Kwa kudhidirisha katika sentensi onyesha jinsi aina tofauti za maneno huingiliana
Previous: Eleza aina tofauti za mofimu

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions