Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Eleza aina tofauti za mofimu

      

Eleza aina tofauti za mofimu.

  

Answers


KELVIN
? Mofimu huru
? Neno lisiloweza kugawanywa katika vipande mbalimbali na linalojisimamia na kuwa na maana kamili.
? Kuku, baba, mama, sana, labda, jana n.k.
? Mofimu tegemezi
? Isiyoweza kujisimamia na kujitosheleza kisarufi, mifano:

? Mzizi (Sehemu ya neno inayobeba maana kuu na isiyoweza kubadilishwa)
? m-tu, samahe-k-a, n.k.
? Nafsi
? Tumesahau
? Ngeli
? Lilianguka.
? Yalianguka.
? Kikanushi
? Sikumpiga
? Halijaoza.
? Huli.
? Njeo/wakati
? Liliiva.
? Analia.
? Tutaimba.
? Alipoenda.
? Hali
? Me, nge, ngali, hu, ki, ka, n.k.
? Mahali
? Alipoingia.
? Alikoingia.
? Alimoingia.
? Virejeshi
? Lililonunuliwa.
? Alijikata.
? Mtendwa/watendwa/kitendwa/vitendwa/shamirisho
? Alichikichukua.
? Kilichowaua.
? Mnyambuliko/kauli
? Alimpigia.
? Alimlilia
? Alinikosea.
? Alimtolea.
? Kiishio
? a, e, i, u

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:38


Next: Eleza maana mofimu
Previous: Viambishi ni nini

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions