Jadili aina tofauti za viambishi

      

Jadili aina tofauti za viambishi.

  

Answers


KELVIN
? Viambishi Awali
? Ambavyo hutokea kabla ya mzizi.
? A-li-ye-ku-kata-a
? Viambishi Tamati
? Ambavyo hutokea baada ya mzizi k.m. ki-pig-ishw-a-cho

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:40


Next: Viambishi ni nini
Previous: Jadili kauli mbali mbali ambazo kitenzi hunyambuliwa

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions