Eleza kwa kutolea mifano matumizi ya neno ila

      

Eleza kwa kutolea mifano matumizi ya neno ila.

  

Answers


KELVIN
? ila
a) isipokuwa
? Watu wote ila yeye wameenda.
b) kasoro
? Hakuna kizuri kisicho na ila.
? labda (pengine/shaka)
? Haonekani siku hizi labda amepata uhamisho.

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:46


Next: Jadili kauli mbali mbali ambazo kitenzi hunyambuliwa
Previous: Eleza matumizi tofauti ya neno ikiwa

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions