Eleza matumizi tofauti ya neno ikiwa

      

Eleza matumizi tofauti ya neno ikiwa

  

Answers


KELVIN
a) (kama/shaka)
? Tutamkuta nyumbani ikiwa amepewa likizo.
b) masharti
? Mgonjwa atapona ikiwa atakunywa dawa ipasavyo.

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:55


Next: Eleza kwa kutolea mifano matumizi ya neno ila
Previous: Eleza matumizi ya neno walakini

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions