Eleza matumizi tofauti ya ingawa na ijapokuwa

      

Eleza matumizi tofauti ya ingawa na ijapokuwa

  

Answers


KELVIN
? ingawa/ingawaje (hata kama)
? Nilijilaza kitandani ingawa sikuwa na usingizi.
? ijapokuwa/japo (hata kama)
? Usicheze na nyoka ijapokuwa ni mdogo.

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:56


Next: Eleza matumizi ya neno walakini
Previous: Onyesha matumizi tofauti ya jinsi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions