Onyesha matumizi tofauti ya jinsi

      

Onyesha matumizi tofauti ya jinsi.

  

Answers


KELVIN
a) njia/utaratibu wa kufanyia jambo
? Sijui jinsi ugali unavyopikwa.
b) aina/namna/sampuli
? Siwezi kula chakula jinsi hii.
c) kulingana na/kama
? Alikuja jinsi alivyoniahidi.

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:58


Next: Eleza matumizi tofauti ya ingawa na ijapokuwa
Previous: Onyesha matumizi ya kwa

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions