Onyesha matumizi tofauti ya na

      

Onyesha matumizi tofauti ya na.

  

Answers


KELVIN
a) kiunganishi
? Mama na baba wanalima.
b) umilikaji
? Kamau ana kitabu kizuri.
c) wakati uliopo
? Anaandika barua.
d) kauli/mnyambuliko
? Kamau na Juma wanapigana.
e) kuonyesha tofauti
? Kiatu hiki ni tofauti na kile.
f) mtenzi
? Alipigwa na mwalimu.
g) kuonyesha ufupisho wa nafsi
? Alisaidiwa nao.
kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:59


Next: Onyesha matumizi ya kwa
Previous: Onyesha matumizi tofauti ya li

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions