Onyesha matumizi tofauti ya li

      

Onyesha matumizi tofauti ya li.

  

Answers


KELVIN
? li
a) wakati uliopita
? Alitupatia zawadi.
b) ngeli
? Tunda limeiva.
c) kitenzi kishirikishi kipungufu
? Jembe li ghalani.

kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 09:00


Next: Onyesha matumizi tofauti ya na
Previous: Onyesha matumizi tofauti ya me/ja

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions