Eleza matumizi tofauti ya ni

      

Eleza matumizi tofauti ya ni

  

Answers


kelvin
a) nafsi ya kwanza umoja
? Niliwasili jana.
b) mahali
? Twende kanisani.
c) kitenzi kishirikishi kipungufu
? Yeye ni daktari.
d) wingi
? Tokeni nje.

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 09:06


Next: Onyesha matumizi tofauti ya me/ja
Previous: Onyesha matumizi ya ndi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions