Onyesha matumizi tofauti ya ji

      

Onyesha matumizi tofauti ya ji

  

Answers


kelvin
a) udogo
? Kijitu kimeanguka.
b) ukubwa
? Jibwa limebweka.
c) kirejeshi
? Alijipalia makaa.
d) nafsi ya pili
? Jichukulie upendacho.
e) kiambishi tamati cha kuunda nomino.
? Mwimbaji alituzwa.

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 09:08


Next: Onyesha matumizi ya ndi
Previous: Onyesha matumizi tofauti ya ki

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions