Onyesha matumizi tofauti ya ki

      

Onyesha matumizi tofauti ya ki

  

Answers


kelvin
a) kitendo ki katika hali ya kuendelea
? Tulikuwa tukila alipoingia.
b) masharti/kitendo kinategemea kingine
? Utapita mtihani ukijitahidi.
c) udogo
? Kitoto kinalia.
d) ngeli
? Kitabu kimechukuliwa.
e) kitenzi kishirikishi kipungufu
? chakula ki mezani.
f) kielezi namna mfanano.
? Yeye hula kifisi.
g) kitendo hakifanyiki kamwe
? Chai hii hainyweki.

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 09:08


Next: Onyesha matumizi tofauti ya ji
Previous: Jadili matumizi tofauti ya ku

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions