Jadili matumizi tofauti ya ku

      

Jadili matumizi tofauti ya ku.

  

Answers


kelvin
a) kikanushi cha wakati uliopita
? Hakumpiga kwa jiwe.
b) nafsi ya pili umoja.
? Alikupigia simu jana.
c) mahali
? Huku kumesafishwa.
d) ngeli
? Kuugua kumemnyenyekesha.
e) mwanzo wa kitenzi
? Ameenda kusafisha nyumba

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 09:09


Next: Onyesha matumizi tofauti ya ki
Previous: Eleza matumizi tofauti ya ka

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions