Eleza matumizi tofauti ya ka

      

Eleza matumizi tofauti ya ka.

  

Answers


kelvin
a) mfuatano wa matukio
? Tulikula chakula, tukanywa chai kisha tukalala.
b) vichwa vya habari
? Mwizi kapigwa mawe
c) kutoa amri
? Kachezeeni nje!
d) kitendo fulani ni tokeo la kingine
? Tulisoma kwa bidii tukapita mtihani.
e) kutoa nasaha/shauri
? Kamwombe babako msamaha

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 09:10


Next: Jadili matumizi tofauti ya ku
Previous: Tambua matumizi tofauti ya a

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions