Tambua matumizi tofauti ya a

      

Tambua matumizi tofauti ya a

  

Answers


kelvin
a) Hali isiyodhihirika ya wakati uliopo
? Watoto wacheza uwanjani.
b) vichwa vya habari
? Waziri aaibishwa na wananchi.
c) kitendo kinaendelea
? Twaenda sokoni.
d) nafsi ya tatu umoja
? Yeye aliudhika sana.
e) ngeli
? Mbuzi yule atachinjwa kesho.
f) kiishio
? Mtoto amekula vizuri.

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 09:10


Next: Eleza matumizi tofauti ya ka
Previous: Dhihirisha matumizi tofauti ya ngeli

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions