Dhihirisha matumizi tofauti ya kiambishi po

      

Dhihirisha matumizi tofauti ya kiambishi po.

  

Answers


kelvin
a) wakati
i) maalum
? Yeye anapolala hukoroma.
ii) Wowote/mazoea
? Mwalimu aingiapo wanafunzi husimama.
b) mahali
? Paliposafishwa pamechafuka.
c) masharti
? Mtoto aamkapo, mpe uji.
d) kikanushi cha ki ya masharti
? Akila.-asipokula.

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 09:12


Next: Dhihirisha matumizi tofauti ya ngeli
Previous: Onyesha katika sentensi matumizi tofauti ya alama za usemi(“”)

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions