Onyesha katika sentensi matumizi tofauti ya alama za usemi(“”)

      

Onyesha katika sentensi matumizi tofauti ya alama za usemi(“”).

  

Answers


kelvin
a) Usemi halisi
? “Njoo kesho,” mama akamwambia.
b) Lugha ngeni
? “Ninunulie jarida la ‘Parents’”, babake akamwambia.
c) Vipindi, filamu, makala
? “Vioja Mahakamani”
d) Semi
? “kumwaga zigo”

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 09:13


Next: Dhihirisha matumizi tofauti ya kiambishi po
Previous: Eleza njia tatu ambazo alama za dukuduku hutumika

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions