Eleza njia tatu ambazo alama za dukuduku hutumika

      

Eleza njia tatu ambazo alama za dukuduku hutumika.

  

Answers


kelvin
a) maneno yameachwa ya kutangulia, kati au ya mwisho. Yaweza kuachwa kwa kuwa makali
? Nyani haoni…
b) kukatizwa usemi/kauli
AMINA: Mama ni…
MAMA: Kwanza watoka wapi usiku huu?
c) maneno yanaendelea
? Alimwambia ajihadhari anapovuka barabara…

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 09:15


Next: Onyesha katika sentensi matumizi tofauti ya alama za usemi(“”)
Previous: Eleza matumizi tofauti ya alama ya mkato au kipumuo

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions