Ritifaa au kibainishi hutumika vipi

      

Ritifaa au kibainishi hutumika vipi.

  

Answers


kelvin
a) herufi imeachwa
? wal’otutuma
b) shadda/mkazo
? `iba, ka`lamu
c) katika sauti ya king’ong’o
? Ng`ombe amekufa.
d) Kufupisha
? Tu’shasafisha nguo.
e) katika kuandika miaka yenye namba izilizoachwa
? `73-`99.

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 09:16


Next: Eleza matumizi tofauti ya alama ya mkato au kipumuo
Previous: Mshazari/ mkwaju hutumika wapi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions