Mshazari/ mkwaju hutumika wapi

      

Mshazari/ mkwaju hutumika wapi.

  

Answers


kelvin
a) Tarehe
? Alizaliwa tarehe 5/6/1998.
b) kuonyesha kumbukumbu
? KUMB 1/2009
c) kuonyesha visawe
? Nenda katika shule/skuli.
d) Kuonyesha au
? Wanawake/wanaume wataajiriwa.

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 09:17


Next: Ritifaa au kibainishi hutumika vipi
Previous: Eleza matumizi tofauti ya kistari kifupi( - )

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions