Eleza matumizi tofauti ya kistari kifupi( - )

      

Eleza matumizi tofauti ya kistari kifupi( - ).

  

Answers


kelvin
a) kuandika tarehe
? 5-6-2006
b) kuonyesha silabi, viambishi au mofimu
? sa-la-mu na imb-a.
c) kuonyesha neno linaendelea katika mstari unaofuata.
? Usitenganishe sauti za silabi.
d) Kuonyesha mzizi wa neno
? -ma,-bwa
e) kuonyesha kudumishwa kwa sauti
? Lo-o-o-o!
f) Hadi/ kipindi cha tukio fulani
? 1999-2008.
g) Kutenganisha usemi na msemaji
? Huo ni upumbavu-Kibaki

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 09:19


Next: Mshazari/ mkwaju hutumika wapi
Previous: Onyesha matumizi tofauti ya kistari kirefu

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions