Onyesha matumizi tofauti ya kistari kirefu

      

Onyesha matumizi tofauti ya kistari kirefu.

  

Answers


kelvin
a) kutenganisha usemi na msemaji
b) kuonyesha mabadiliko ya ghafla
? Wanafaunzi ni wajinga-samahani, simaanishi wote.
c) kutangulia maelezo ya ziada
? Walisaidia nchi za Afrika Mashariki- Kenya, Uganda na Tanzania kwa msaada

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 09:33


Next: Eleza matumizi tofauti ya kistari kifupi( - )
Previous: Taja njia ambazo mstari hutumiwa

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions