Taja njia ambazo mstari hutumiwa

      

Taja njia ambazo mstari hutumiwa.

  

Answers


kelvin
a) kusisitiza
? Jibu maswali mawili pekee.
b) kuonyesha aina za maneno
? Mtoto wangu analala (V. kimilikishi).
c) kuonyesha vitabu, majarida na magazeti
? Chemchemi za Kiswahili, “True Love”, n.k.
d) kuandika anwani/kichwa
? Mwanafunzi Adhibiwa/Kaadhibiwa Vikali

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 09:34


Next: Onyesha matumizi tofauti ya kistari kirefu
Previous: Eleza matumizi tofauti ya kikomo

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions