Eleza matumizi tofauti ya kikomo

      

Eleza matumizi tofauti ya kikomo.

  

Answers


kelvin
a) mwishoni mwa sentensi.
b) kuandika tarehe
? 2.3.2013
c) kuonyesha ufupisho wa maneno
? Dkt.,Bw.,Bi.,C.C.M
d) kuonyesha takwimu
? 4.5, 86.27, n.k.
e) kutenga shilingi na senti
? 6.50-shilingi sita na senti hamsini
f) juu ya herufi j na I

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 09:39


Next: Taja njia ambazo mstari hutumiwa
Previous: Onyesha matumizi tofauti ya semi koloni

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions