Onyesha matumizi tofauti ya semi koloni

      

Onyesha matumizi tofauti ya semi koloni.

  

Answers


kelvin
a) kugawa sentensi mbili zinazoweza kujisimamia bila ya viunganishi
? Wasichana walifuata maagizo waliyopewa; wafulana waliyagomea.
b) kama kipumziko katika sentensi ndefu
? Alipochunguza ile hati aliyokabidhiwa na wale wafanya biashara aliona kuwa si nzuri; akaamua kujitenga nayo.

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 09:40


Next: Eleza matumizi tofauti ya kikomo
Previous: Onyesha matumizi tofauti ya vifungo/mabano/paradesi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions