Onyesha matumizi tofauti ya vifungo/mabano/paradesi

      

Onyesha matumizi tofauti ya vifungo/mabano/paradesi

  

Answers


kelvin
a) kuzingira nambari au herufi katika orodha
? (i),(a)
b) kuonyesha maelezo ya vitendo vya msemaji katika mazungumzo, mahojiano au tamthilia
? MAMA :( Akiinama.) Hebu njoo haraka.
c) kutoa maelezo zaidi
? Ema (kifungua mimba changu) chaja leo kutoka marekani.
d) kuonyesha visawe
? Mamba (ngwena) huliwa.

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 09:41


Next: Onyesha matumizi tofauti ya semi koloni
Previous: Eleza matumizi tofauti ya herufi kubwa

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions