Eleza matumizi tofauti ya herufi kubwa

      

Eleza matumizi tofauti ya herufi kubwa.

  

Answers


kelvin
a) mwanzoni mwa sentensi.
b) kuandika anwani
? S.L.P 1000, Bura.
c) mwanzoni mwa usemi halisi
? “Twendeni zetu,” akatwambia.
d) baada ya kiulizi (?) na hisi (!)
? Lo! Ulienda? Hebu niambie yaliyojiri.
e) mwanzoni mwa nomino za pekee
? Musa
f) ufupisho wa maneno
? C.C.M (Chama cha Mapinduzi)
g) mwanzoni mwa majina ya vitabu, majarida, magazeti, vipindi, filamu, n.k.
h) kuandika sifa inayotokana na jina la pekee
? Kiganda, Kikristu.

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 09:42


Next: Onyesha matumizi tofauti ya vifungo/mabano/paradesi
Previous: Taja matumizi ya koloni/nukta mbili

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions